https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi

/ 5 1

MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO

F. Madokezo kwa ajili ya kuuelewa utume leo: umisheni ni tangazo la ahadi kwa mataifa .

1. Mungu aliwaamuru mitume kuutangazia ulimwengu kwamba Yesu wa Nazareti ndiye utimilifu wa ahadi (Mdo. 10:37-42).

2. Yesu aliwapa wanafunzi wake utume wa kutangaza ahadi iliyotimizwa ndani yake kuanzia Yerusalemu, hata miisho ya dunia.

1

a. Matendo 1:8

b. Matendo 2:32

c. Matendo 3:15

d. Matendo 4:33

3. Maandiko, Agano la Kale na Agano Jipya, yanatoa ushuhuda wa wazi kwamba Yesu wa Nazareti ndiye utimilifu wa ahadi ya Mungu kwa Ibrahimu na Daudi, na kwamba wokovu unapaswa kuhubiriwa kwa mataifa yote kulingana na ahadi, kuanzia Yerusalemu.

a. Luka 24:26-27

b. Luka 24:46-48

c. Matendo 17:2-3

Made with FlippingBook Annual report maker