https://user-fNLORqa.cld.bz/Misingi-ya-Utume-wa-Kikristo-Mwongozo-wa-Mkufunzi
5 0 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
a. Yer. 32:40 (rej. Ebr. 8:6-12)
b. Mt. 26:28
c. Luka 22:20
d. 2 Kor. 3:6
1
5. Yesu wa Nazareti, kwa sababu ya kifo chake msalabani, ametukuzwa na Mungu na kuinuliwa daraja la juu sana, na anatawala kwa idhini ya Mungu.
a. Matendo 2:22-23
b. Matendo 2:32-36
6. Ahadi iliyotolewa kwa Ibrahimu ilitangazwa kwa Israeli kwamba imetimizwa katika nafsi ya Yesu wa Nazareti.
a. Luka 1:72-74
b. Matendo 3:25-26
7. Mungu amemwinua Yesu kuwa Kiongozi na Mwokozi wa Israeli ili kutoa toba na msamaha (Mdo. 5:30-31).
8. Hakuna wokovu katika mwingine ila Yesu wa Nazareti; utume unatokana na ahadi ya Mungu ndani yake, Mdo 4:11-12.
Made with FlippingBook Annual report maker