Kristo: Mada Kuu Ya Biblia
Nuru ya mji wa dhahabu, Mwana-Kondoo asiye na doa wala dosari, Bwana arusi ajaye usiku wa manane, Ambaye Wanawali wanamtazamia. Popote ninapofungua Biblia yangu, Namuona Bwana wangu katika Kitabu.
[Tafsiri ya Shairi la “I Find my Lord in the Book”]
~ Mwandishi Hajulikani
141
Made with FlippingBook Digital Publishing Software