Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
/ 1 2 5
K U T A F S I R I B I B L I A
b. Sheria zinazokataza (“Usifanye hivi”)
c. Sheria za Masharti (“Ukifanya hivi, basi . . . ”)
2. “Torati” ya Agano la Kale – Kutoka hadi Kumbukumbu la Torati na “Torati na Manabii”
a. Kanuni ya Agano – Kutoka
b. Kanuni ya Kumbukumbu la Torati – Kumbukumbu la Torati 12-25
c. Kanuni ya Utakatifu – Mambo ya Walawi 17-26
3
Sheria hizi zinahusisha masuala ya kisheria, ikiwa ni pamoja na sheria za kiraia na za jinai, mauaji na mashambulio, wizi, uzembe na uharibifu, makosa ya kimaadili na ya kidini, masuala ya familia, utumwa, sheria za kimataifa, na muhimu zaidi, sheria zinazohusiana na utakatifu binafsi na utakatifu wa kusanyiko mbele za Mungu.
3. Mapokeo “ nomos ” ya Agano Jipya– “Sheria” ya Kristo na maana yake katika maandiko ya mitume.
a. Rejea kwa maandiko ya Kiebrania, agano la Sinai, na sheria ya Mungu kama njia ya kuwasilisha mapenzi ya Mungu.
b. Rejea kwa sheria kama kanuni inayoongoza ya imani na utendaji (yaani maisha ya kila siku).
c. “Amri Kuu” kama utimilifu wa sheria ya Agano la Kale (taz. Rum. 13:10).
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker