Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
1 4 4 /
K U T A F S I R I B I B L I A
2. Hadithi daima ni muhimu zaidi kuliko maelezo ya kawaida.
3. Hadithi zinabaki kuwa kanuni (mamlaka) kwa jumuiya ya imani ya Kikristo.
4. Tamaduni za Kikristo (mapokeo) hukua na kujifafanua kupitia hadithi.
5. Hadithi za Mungu hutangulia, huzaa, na kuwezesha (kuimarisha) jumuiya ya watu wa Mungu.
6. Hadithi ya jumuiya inahusisha maonyo, makaripio na uwajibishaji .
3
7. Hadithi huzaa theolojia .
8. Hadithi huzaa theolojia nyingi .
9. Hadithi huzaa liturjia na sakramenti .
10. Hadithi ni historia .
II. Vipengele vya jumla katika kufasiri simulizi (Hadithi)
Tunaposhughulika na hadithi za kufikirika na simulizi za kihistoria za maandiko, tunapaswa kufahamu vipengele mbalimbali vya kifasihi vinavyounda usimulizi wa hadithi, na kugundua matumizi na mwingiliano wake katika maandiko tunayojifunza .
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker