Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

1 5 0 /

K U T A F S I R I B I B L I A

C. Unabii ni njia maalum ya ufunuo wa Mungu .

1. Kuna aina mbalimbali za ufunuo wa Mungu: Yer. 18:18 (ona Isa. 28:7; 29:10, 14) (k.m., sheria kutoka kwa kuhani, shauri kutoka kwa wenye hekima, neno kutoka kwa nabii).

2. Manabii walikuwa watu gani?

a. Waliweza kuishi pamoja katika vikundi, vyuo, au jumuiya, (k.m., 2 Wafalme 2:ff; 6:1).

b. Wengine walihusishwa na hekalu, na huenda walitumika kama makuhani, (k.m., Samweli, Eliya, Ezekieli [1:3], na Yeremia [1:1]).

3

c. Makuhani walikuwa na kazi ya kinabii ya kufasiri, kunakili, kusasisha, na kutekeleza Sheria (cf. Isa. 28:7, pia mfano wa Ezra).

d. Waalimu wa hekima pia walichukuliwa katika Israeli kuwa wenye vipawa vya unabii (ona Mwa. 41:38f; 2 Sam. 14:20, 16:23; 1 Wafalme 3.9, 12, 28).

D. Unabii unajidhihirisha katika njia mbalimbali za kibinafsi na za kifasihi.

1. Ulitambuliwa katika Dini ya Kiyahudi na Ukristo wa kale kuwa na namna nyingi tofauti (cf. Josephus, Against Apion I, 38-42 na Marko 12:36; Mdo. 2:30; 7:37).

2. Maneno katika maandiko, Isa. 1:1ff.

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker