Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
/ 1 5 1
K U T A F S I R I B I B L I A
3. Mahubiri katika Kanisa, 1 Kor. 12-14.
4. Taarifa, mawaidha ya mitume, Matendo 2.
5. Mafundisho ya ufunuo ya watu waliovuviwa, 1 Kor. 14:6.
6. Jumla ya ufunuo wa kimungu katika maandiko, 2 Pet. 1:19-21 (cf. Luka 11:50-51, Mdo. 2:16ff, Yakobo 5:10-11).
E. Tabia za unabii wa kibiblia
1. Mikusanyiko ya hotuba zinazotolewa kwa mdomo au kuonyeshwa kimwili katika matukio na vitendo.
3
2. Utajiri katika ishara, taswira, sitiari na istiari, taz. Amosi 4:1 na Isa. 44:23.
3. Mara nyingi huwasilishwa na/au kuandikwa kwa njia ya kishairi.
a. Hufanya neno la kinabii kukumbukwa.
b. Matumizi ya usambamba.
c. Kuonyesha ukweli, au kuuigiza ili kuwasilisha ujumbe wa Mungu.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker