Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

1 5 6 /

K U T A F S I R I B I B L I A

1. Ushuhuda wa Yesu ndio kiini chenyewe (yaani, nia ya ndani na mantiki) cha tafsiri zote za kinabii, Ufu. 19:10.

2. Kristo ndiye kitovu cha ufasiri wa Biblia, na kwa hiyo utabiri wa kihistoria (yaani, unabii kwa maana ya matukio ya kihistoria yajayo) unapata uhakika wa muunganiko ndani yake (rej. Luka 24:27, 44-48).

3. Maana tatu za utimilifu wa unabii wa kihistoria (Walter Kaiser, An Introduction to Biblical Hermeneutics ):

a. Neno lililotabiriwa ambalo linatangulia tukio linalorejelewa.

b. Njia za kihistoria ambazo Mungu alizitumia kuliweka hai neno hilo lililotabiriwa kwa vizazi vilivyofuata (yaani, matukio ya awali ya kutimizwa kwa unabii yanayounganisha tamko la kwanza na kilele cha utimilifu wa unabii husika).

3

c. Utimilifu wa mwisho katika AJ wa utabiri wa kinabii uliotolewa katika Agano la Kale unaotimizwa ama katika Ujio wa Kwanza au wa Pili wa Yesu Kristo.

B. Kanuni ya Pili: Elekeza jumbe za kinabii katika wito wa Ufalme – fuata mtindo wa maisha ya Ufalme licha ya matukio yajayo.

1. Azimio jipya la kujiandaa na kujiweka tayari kwa ajili ya kurudi kwa Kristo, 1 Pet. 1:10-13.

2. Uhakika kamili wa matukio yajayo, 2 Pet. 1:19-21.

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker