Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

/ 1 9 1

K U T A F S I R I B I B L I A

B. Matumizi ya zana

1. Hukuwezesha wewe kama mfasiri wa Biblia kusoma lugha na sarufi ya kifungu kwa ufasaha zaidi.

2. Hukuza ugunduzi bora wa matukio ya kihistoria na mitazamo ya kitamaduni ambayo inaweza kuathiri uelewa wa maandiko wa hadhira ya asili.

C. Uchaguzi wa zana

1. The New Bible Commentary (InterVarsity Press)

2. The Expositor’s Bible Commentary (Zondervan)

4

3. Tyndale Old Testament Commentaries (InterVarsity Press)

4. Tyndale New Testament Commentaries (InterVarsity Press)

5. The New International Commentary on the New Testament (Eerdmans)

Hitimisho

» Kundi la zana za msingi za kutafsiri Biblia linaweza kusaidia kuunganisha umbali kati ya uelewa wetu wa maandiko ya kale na matumizi yetu sisi leo. » Kupitia uwekezaji mdogo, mwanafunzi wa maandiko anaweza kupata na kutumia zana hizi ili kujifunza mapengo ya kihistoria, kitamaduni, kiisimu na kijamii ambayo yanazuia uelewa wetu wa maandiko.

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker