Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

2 4 6 /

K U T A F S I R I B I B L I A

Dhumuni

Kuwa kama Yesu 1 Kor. 11.2 Rum. 8.29 Fil. 3.8-12

Kumpenda

Mungu kwa

moyo wako wote Kum. 6.4-6 Mt. 22.34-40

Kuwapenda

majirani kama

tunavyojipenda wenyewe Kumb. 19.18 Mt. 7.12

Unatoka kwenda matembezi na nani

Masahihisho (njia ya kurejea)

Mithali 13.1; 19.20; Ebr. 5.8; Mt. 26.39; Zab. 31.3; 119.35; 143.10; Mit. 6.20-23; Yer. 42.1-3

Maelekezo katika haki (kuwa katika njia sahihi) Zab. 31.3; 48.14; Isa. 42.16; Zab. 125; 4-5; 25.5; 27.11

Nini unakisikiliza na kukitazama Nini unasoma Wapi unakwenda Namna unavyofanya maamuzi Malengo yako ni nini Nini ni muhimu kwako

Namna unavyo vaa

Namna unavyo ongea

Unafikiria kuhusu:

Kupanda na kuvuna {Gal. 6.7-8} Njia ya hekima {Mithali 2.1-9; Mit. 8.1-9; 9.1-6; Mit. 1.7; 8.13} Uta panda Utavuna ulichopanda Utavuna zaidi ya ulichopanda Utavuna kulingana na ulichopanda Utavuna kwa ukarimu kama ulivyopanda Utavuna kwa majira tofauti na yale uliyopanda Unaamua unachopanda

Isa. 26.1-9 Njia nyembamba {Mt. 7.13-14

Njia ya uzima {Mithali 1.7-8; 4.13; 8.10; 9.9; 10.17; 13.18; 15.32-33; 23.23

Njia inayoelekea mautini Mit. 14.12; 16.25; 1.24-33; 2.10-22; 15.9; 15.19, 24, 29; 13.15; Ayubu 15.20; Zab. 107.17; Rum. 2.9

Unaweza kupanda tofauti na ulivyofanya mwaka uliopita Unavuna zaidi kama unatia mbolea na kupalilia

Upandaji wako pia unaweza kuathiri kile wengine wanavuna

Kemea (njia

isiyosahihi)

Mithali 9.9; 11.14; 12.15; 15.22; 19.20; 20.18; 24.6; 13.10; 15.10

Fundisho (njia sahihi) 2 Timotheo 3.16-17; Yohana 8.31-32; 1 Yohana 4.6

K I A M B A T I S H O C H A 1 5 Njia ya Hekima Mch. Dkt. Don L. Davis

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker