Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

2 5 0 /

K U T A F S I R I B I B L I A

K I A M B A T I S H O C H A 1 8 Mfano wa Utendaji kazi wa Uhakiki wa Maandishi Imechukuliwa kutoka kwa Mwanatheolojia R. C. Briggs, Interpreting the New Testament Today .

Marko 1.1 Mwanzo wa injili ya Yesu Kristo ( Mwana wa Mungu ) Kulingana na zana hizi muhimu, Hati zifuatazo (au kundi la hatikunjo) husomeka ΙησοΰΧριστοΰΰίοΰθεοΰ

A ( Codex alexandrinus ). Karne ya tano. Maandishi ya mfumo wa Byzantine (katika vitabu vya Injili) B ( Codex vaticanus ). Karne ya nne. Maandishi ya mfumo wa Alexandria (katika vitabu vya Injili na Matendo ya Mitume) D ( Codex bezae ). Kerne ya tano au ya sita. Maandishi ya mfumo wa Western W ( Washington codex ). Karne ya tano. Maandishi ya mfumo wa Western (katika Marko 1.1-5.30).  ( koine ). Kundi la Maandiko madogo na yasiyo ya kawaida yaliyoanza karne ya saba. Maandishi ya mfumo wa Western  ( family 1, lake group ). Karne ya kumi na mbili na kuendelea. Kama kwenye karne ya nne na ya tano, maandiko ya mfumo wa Kaisaria.  ( family 13, ferrar group ). Karne ya kumi na mbili na kuendelea. Inayofanana na maandishi ya mfumo wa Kaisaria. it ( itala au kilatini cha kale ). Karne ya kumi na moja na kuendelea. Maandishi haya ni ya mwanzo ya mfumo wa Western (kabla ya yale ya ule wa Vulgate ). vg ( vulgate ). Tafsiri iliyothibitishwa ya kilatini, ilikamilishwa na Jerome katika mwaka 405B.K (vitabu vya Injili 385B.K). Maandishi ya mfumo wa Western . sy P ( peshitta ). Tafsiri iliyothibitishwa ya karne ya tano ya kisiria. Ikifanana na maandishi ya mfumo wa Byzantine (katika vitabu vya Injili). sa ( sahidic ). Tafsiri ya karne ya nne ya kikoptiki (ya Misri) maandishi ya mfumo wa Alexandria na athari za maandishi ya mfumo wa Western . bo ( bohairic ). Tafsiri ya kikoptiki, baadae zaidi ya sahidiki. Maandishi ya mfumo wa Western . Kifaa muhimu pia kinaonyesha maandiko mawili muhimu ambayo yanahifadhi usomaji kwa ufupi. S pia imeundwa kama ~ ( codex sinaiticus ). Karne ya nne. Kama B, uwakilishi wa kwanza wa maandishi ya mfumo wa Alexandria .  ( codex Koridethi ). Karne ya tisa. Maandishi yanafanana na yale ya karne ya tatu na ya nne ya mfumo wa Alexandria .

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker