Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
3 1 6 /
K U T A F S I R I B I B L I A
maandishi wa yale waliyoyagungua. Tunataka kuongeza ujuzi wao, lakini sio kwa kuharibu shauku na kujengwa kwao. Usiogope kuwapa changamoto wanafunzi kwa ajili ya kuwa bora zaidi, na kamwe usiwazuie kwa kudhani kwamba hawawezi. Jitahidi kuona nini kinaunganisha kati ya changamoto uliyowapa na kutiwa moyo kwao katika mazoezi yote ambayo unayatoa kwa wanafunzi.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker