Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

4 2 /

K U T A F S I R I B I B L I A

d. Kwa madhumuni ya kujua hakika ya mambo yale uliyofundishwa.

2. Kufungua kitabu cha Matendo ya Mitume, Mdo 1:1-2.

a. Matendo ya Mitume kama “Buku la II” la masimulizi ya Luka kuhusu maisha na kazi ya Yesu.

b. Mapungufu na usahihi wa kihistoria.

1

3. Msingi wa uhakiki wa Luka: kutoa maelezo sahihi ya mambo ya kihistoria yanayohusu maisha na kazi ya Yesu.

4. Uhakiki wa kisasa wa Biblia: kufuatilia maandiko hadi kwenye tukio lake la asili, na kisha kufanya uchunguzi kuanzia kwenye tukio lenyewe hata kufikia mapokeo ya mdomo ya tukio husika, hadi nakala za maandishi, na hatimaye kufikia tafsiri sanifu .

C. Tukio la Ufunuo: Mungu akitenda kazi ulimwenguni na katika mwanamume na/au mwanamke wa Mungu.

1. Ni thabiti ( katika suala la ufunuo ).

2. Ni lenye mamlaka ( kwa mujibu wa mapokeo ya kitume , k.m., ufufuo , 1 Wakorintho 15).

3. Haliwezi kujirudia ( limefungamanishwa na matendo ya Mungu katika historia ), k.m., 2 Kor. 5:19.

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker