Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
/ 4 5
K U T A F S I R I B I B L I A
5. Udhaifu: idadi kubwa mno ya matini.
H. Uhakiki wa Kifasihi: kubainisha mwandishi, mtindo, mpokeaji, na tanzu.
1. Huchunguza aina mbalimbali za fasihi, utafiti wa usuli kwenye vitabu.
2. Huiona Biblia kama zao la fikra za kifasihi.
1
3. Uhakiki huu una kiwango cha juu sana cha uthibitisho.
4. Nguvu: hugundua ni aina gani ( tanzu ) za fasihi ya kibiblia zina maana na jinsi zinavyopaswa kuchanganuliwa ili kuzitafsiri ipasavyo.
5. Udhaifu: tabia ya kuyapa maandishi maana bila kuyaruhusu kujisemea yenyewe.
I. Uhakiki wa Kikaoni (kanuni): Kanisa lilikuwa na mtazamo gani juu ya maandiko husika na liliyatumiaje, au ikiwa liliyakubali kabisa au la.
1. Unaangazia historia ya Biblia katika Israeli ya kale na Kanisa la kwanza (mabaraza, mitaguso).
2. Huiona Biblia kuwa zao la jamii ya waamini.
3. Uhakiki huu una kiwango cha juu sana cha uthibitisho.
4. Nguvu: unachukulia kwa uzito wa hali ya juu mtazamo wa jamii ya waaminio kuhusu Biblia.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker