Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
4 6 /
K U T A F S I R I B I B L I A
5. Udhaifu: unaelekea kutafsiri maana nzima ya maandiko kwa msingi wa kile yalichomaanisha ndani ya jamii ya waamini, badala ya kile ambacho hasa hasa Biblia inasema .
J. Uhakiki wa uandishi: huangazia theolojia ya mtu aliyeiandika.
1. Utafiti wa kina wa vitabu vya mtu binafsi ili kuelewa maana ya mada na maoni ya mwandishi.
1
2. Huiona Biblia kuwa zao la ubunifu wa mtu.
3. Uhakiki huu una kiwango cha kati cha uthibitisho.
4. Nguvu: uchambuzi wa kina wa mkusanyiko mzima wa maandishi ya mwandishi na kuangazia maslahi ya mwandishi husika katika uandishi wake.
5. Udhaifu: hauzingatii mahusiano ya Biblia na vitabu vingine.
K. Uhakiki wa Kihistoria: kuchunguza mazingira ya kihistoria, utamaduni, na usuli.
1. Hutafiti tamaduni za kale, desturi zao, na historia yao.
2. Huiona Biblia kuwa zao la misukumo ya kihistoria.
3. Una kiwango cha kati cha uthibitisho.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker