Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
/ 7 1
K U T A F S I R I B I B L I A
5. Mbinu hii inathibitisha ukweli wa andiko : waandishi wakiongozwa na Roho Mtakatifu waliwasilisha mtazamo na ukweli ambao Mungu aliukusudia kwa wasikilizaji wa kwanza, ambao tunaweza kuugundua na kuuishi (1 Kor. 10:1-6).
D. Faida zake
1. Ni mbinu ya kuyaendea maandiko kwa madhumuni ya ufafanuzi ( exegesis ).
2. Njia hii inasisitiza kuelewa kabla ya kufanyia kazi.
2
3. Kutafuta kanuni za nyakati zote [za milele] katika maelezo na matukio yahusuyo wakati fulani mahususi .
Kugundua Neno na matendo ya Mungu kupitia maisha ya watu kwenye maandiko
Mazingira ya Kimwili
Mitazamo ya ulimwengu
Dini
Ulimwengu wao wa kale
Imani
Mgawanyo wa Kuhatschek: Kuelewa muktadha asilia wa andiko Kutafuta kanuni za jumla Kufanyia kazi kanuni hizo leo
Tamaduni
Lugha
Watu
Lilikuwa na maana gani kwao wakati ule? ............. Lina maana gani kwetu sasa?
Siasa
Historia
Kweli ya milele ya Mungu Aliye Hai
Kazi
Ulimwengu
Hali yetu katika ulimwengu wa sasa
Tabia
Familia
Mahusiano
Ujirani
Kanisa
Kutumia kanuni za Neno la Mungu katika maisha yetu ndani ya Kanisa na Ulimwenguni.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker