Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide
/ 8 9
K U T A F S I R I B I B L I A
E. Dhumuni la Paulo katika kuandika kitabu hiki lilikuwa lipi?
1. 1 Wakorintho ni jibu la Paulo kwa barua iliyotangulia ambayo alikuwa amewaandikia, 1 Kor. 5:9 – Naliwaandikia katika waraka wangu, kwamba msichangamane na wazinzi.
2. Paulo anajibu kuhusu maswali waliyokuwa nayo, na masuala ndani ya kanisa ambayo yalihitaji kushughulikiwa.
F. Kifungu hiki kinachangiaje kwenye kusudi la mwandishi?
2
1. Anazungumzia wazo la uhuru wa Mkristo katika sura ya 8, akithibitisha kwamba hatakula nyama ikiwa ingesababisha ndugu yake Mkristo kujikwaa, 1 Kor. 8:1-13 ( kumbuka ambapo kifungu kinaanza na kumalizika, ni sehemu gani ).
2. Paulo hapa anatetea utume wake mbele ya Wakorintho, akizungumzia haki alizo nazo kama mtume, 1 Kor. 9:1-7.
a. Anatetea haki yake ya kula na kunywa kama mtume , mst.3.
b. Anatetea haki yake ya kuchukua mke aliyeamini pamoja naye katika safari zake za kitume kama mitume wengine , mst.5.
c. Anatetea haki yake ya kuacha kuishi na kutegemezwa na Injili yenyewe, mst.6.
3. Anatoa mifano ya kawaida ili kuthibitisha kwamba yule anayehudumu katika muktadha fulani anaweza kutegemezwa ndani ya muktadha huo.
Made with FlippingBook - Online Brochure Maker