Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Mentor Guide

9 0 /

K U T A F S I R I B I B L I A

a. Askari, mstari wa 7

b. Mkulima, mstari wa 7

c. Mchungaji, mstari wa 7

4. Anahitimisha kwa kunukuu andiko kutoka Kumbukumbu la Torati, Kumb. 25:4 - Ng’ombe apurapo nafaka usimfunge kinywa. (Taz. 1Tim. 5:18 - Kwa maana andiko lasema, Usimfunge kinywa ng’ombe apurapo nafaka. Na tena, Mtenda kazi astahili ujira wake).

2

a. Sura inayozungumzia kuhusu kuwa na mahusiano ya haki miongoni mwa watu wa Mungu.

Kugundua Kanuni na Mada Katika Biblia.

Hasa pale ambapo mada za Biblia ni ngumu na zimeingiliana, ni muhimu kutazama namna Biblia inavyotumia mada

b. Kanuni (1) Viboko arobaini ndio kikomo cha kupigwa (zaidi ya arobaini inachukuliwa kuwa si haki). (2) Usimfunge kinywa ng’ombe anapopura nafaka. (3) Shemeji kuoa mjane wa nduguye (jina la ukoo halipaswi kupotea). (4) Ikiwa wanaume wawili watapigana na mke wa mmojawapo akajaribu kumwokoa mumewe kwa kumshika sehemu za siri yule aliyepigana naye, mkono wa mwanamke huyo utakatwa (mapigano machafu hayaruhusiwi kabisa, hasa kwa vile aina hii inaweza kuharibu uwezo wa mtu kuwa na uzao).

kama hizo, kubainisha kazi mahususi za mada husika, na kuazimia kufuata mifumo kama hiyo ya kibiblia katika tafakuri yetu ya kitheolojia. ~ Donald A. Carson. New Bible Commentary: 21st Century Edition . (electronic ed. of the 4th ed.). Downers Grove, IL: InterVarsity Press, 1997.

G. Soma kifungu hiki katika tafsiri zingine ili kupata ladha yake halisi.

Made with FlippingBook - Online Brochure Maker