Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
1 8 6 /
K U T A F S I R I B I B L I A
e. New American Standard Bible - NASB
f. Revised English Bible (or New English Bible) - REB or NEB
5. Fahamu kwa nini umechagua tafsiri hiyo na uzingatie hilo unapojifunza.
6. Linganisha tafsiri unaposoma mstari wa maandiko.
a. Fahamu ni maana ipi inayojulikana zaidi. Ikiwa matoleo mengi yametafsiri kwa namna zinazofanana, hilo linapaswa kuchukuliwa kwa uzito.
b. Fikiria juu ya athari za tafsiri tofauti.
4
c. Chunguza tofauti yoyote kwa kutumia zana zingine za kujifunzia.
IV. Konkodansi (yenye mfumo wa nambari wa Strong )
A. Ufafanuzi: konkodansi ni kitabu ambacho kinaorodhesha maneno yote ya Biblia na ambamo yanapatikana kwa mpangilio wa alfabeti.
1. Itumie kufuatilia neno fulani (Kiebrania au Kiyunani) kupitia agano (La Kale au Jipya)
2. Tafuta mstari fulani ambao hujui kwa kutumia neno ambalo unalijua.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker