Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

/ 2 0 7

K U T A F S I R I B I B L I A

A. Tumia zana kukusaidia kuziba pengo kati ya dunia hizi mbili: ulimwengu wa maandiko na ulimwengu unamoishi na kufanya kazi.

B. Usiweke neno la mwanadamu kuwa mbadala ya Neno lisilokufa la Mungu aliye Hai.

1. Mwisho wa yote, mabishano yoyote dhidi ya Bwana yakataliwe.

a. Warumi 3:4

b. Kumbukumbu 32:4

c. Zaburi 100:5

d. Zaburi 119:160

4

e. Zaburi 138:2

f. Tito 1:2

2. Usikubali chochote dhidi ya ushuhuda wa maandiko : haijalishi mfasiri ni msomi, mtaalam au mzoefu kiasi gani. Ikiwa hakubaliani na mafundisho ya maandiko, amekosea!

a. Matendo 17:11

b. Zaburi 119:100

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker