Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook

2 7 2 /

K U T A F S I R I B I B L I A

K I A M B A T I S H O C H A 2 7 Matumizi ya Zana za Marejeo kwa ajili ya Kutafsiri Biblia Mch. Dkt. Don L. Davis

Zana za Marejeo Mtambuka na Konkodansi za Mada Kuhusisha matini mbalimbali pamoja kwenye somo, mada, au jambo fulani.

Vitabu vya Mwongozo vya Kitheolojia, Kamusi, na Masomo

Kamusi za Biblia, Atlasi za Biblia, na Marejeo ya Desturi Kuonyesha masuala ya kale ya historia, utamaduni, desturi za kijamii na/au maisha ya nyakati za Biblia.

Kuleta ufahamu wa maana ya neno au kauli fulani kulingana na umuhimu wake kitheolijia.

Kusudi

Hatua ambayo kuna faida zaidi

Kufahamu mazingira ya asili na kutafuta kanuni za kibiblia

Kufahamu mazingira ya asili

Kutafuta kanuni za kibiblia

1. Husisha msitari au kifungu cha Maandiko ulichokisoma na mada husika. 2. Tafuta neno au dhana ambayo ungependa kuifanyia utafiti. 3. Soma kwa makini historia ya neno katika marejeo au kamusi. 4. Husianisha andiko lako na mada, ili kuchukua kile kinachokusaidia na kuachana nacho kile kisicho na umuhimu kwa dhumuni la kujifunza kwako.

1. Chagua kipengele, mada, jambo fulani au desturi ambayo unahitaji msaada katika kuielewa. 2. Chunguza kipengele hicho katika maandishi ya marejeo uliyopewa. 3. Zingatia historia ya jambo husika, na kusanya taarifa mpya katika hitimisho lako la jumla kuhusu kifungu hicho cha Maandiko. Taarifa za kutosha sana zimetolewa kuhusu sosholojia mbalimbali, anthropolojia, masuala ya historia, desturi, jamii, jiografia na taarifa kuhusu mazingira ya asili.

1. Tafuta marejeo ambayo unatamani kupitia. 2. Chambua maandishi mengine yanayohusiana na kifungu cha Maandiko katika marejeo. 3. Husianisha mstari na mada husika. 4. Angalia mada dhidi ya dondoo hizo zilizotolewa. Tafuta vifungu vya maandiko kuhusiana na jambo hilohilo katika Biblia nzima. Muhtasari uliotolewa ili kukusaidia kuchambua Maandiko yote kuhusiana na masuala tofauti tofauti. Chimbua kwa kina andiko husika KABLA hujaanza kutafuta nyenzo zingine za rejea kuhusiana na andiko hilo.

Hatua za kufuata

Kujifunza kwa kina juu ya matumizi mbalimbali ya kitheolojia na maana za neno, maana za maneno au kauli fulani husika katika Biblia.

Faida zake

Lenga shabaha yako katika maana ya andiko na sio MUKTADHA wake peke yake.

Usichanganyikiwe na matumizi MBALIMBALI na maana za wazo la kitheolojia.

Tahadhari ya msingi

Kutegemeka

Nzuri

Nzuri sana

Bora

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker