Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 2 7 9
K U T A F S I R I B I B L I A
Namna ya Kutafsiri Hadithi (muendelezo)
C. Kwa namna gani wahusika wameonyeshwa kwetu?
1. Maelezo ya moja kwa moja
2. Sifa zisizo za moja kwa moja a. Muonekano b. Maneno na mazungumzo
c. Mawazo na mtazamo d. Ushawishi na matokeo e. Vitendo na muhusika
D. Kwa namna gani wahusika wanajaribiwa na wanafanya maamuzi gani?
E. Kwa namna gani wahusika wanakua na kupungua (kuinuka na kuanguka) katika hadithi?
III. Tazama MSIMAMO na LUGHA ya Mwandishi
A. Zingatia maoni ya mwandishi kuhusu wahusika na matukio.
1. Mtazamo (chanya, hasi au usioegemea kokote)
2. Upimaji mambo (hasi au uliothibitika)
3. Hitimisho (muhtasari, kutokuwepo, kwa kufunga?)
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker