Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
2 8 0 /
K U T A F S I R I B I B L I A
Namna ya Kutafsiri Hadithi (muendelezo)
B. Zingatia ni sauti gani imetumika katika uandishi wa hadithi:
1. Msimuliaji anayejua yote (Roho Mtakatifu)
2. Ushuhuda unaosemwa katika nafsi ya kwanza
3. Msimuliaji anayesimulia katika nafsi ya tatu
IV. Tambua UKUAJI WA PLOTI katika hadithi.
A. Zingatia mfumo halisi na taarifa za matukio na vitendo
B. Zingatia pia namna hadithi inavyoanza, inavyokua na inavyo hitimishwa.
C. Uliza na jibu maswali kuhusu ploti halisi.
1. Kwanini matukio yalitokea namna yalivyotukia?
2. Kwanini wahusika waliitikia namna walivyoitikia?
3. Je wangeweza kufanya vitu kwa namna tofauti?
D. Tumia vipengele vya hadithi vya Mwandishi John Legget
1. Mwanzo — utangulizi wa hadithi
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker