Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
/ 2 8 1
K U T A F S I R I B I B L I A
Namna ya Kutafsiri Hadithi (muendelezo)
2. Utata— migogoro, matatizo, masuala mbalimbali na vitisho.
3. Kilele— kilele na sehemu ya kugeuka kwa hadithi
4. Kuelekea mwisho — ni kwa namna gani hadithi inajitatua yenyewe.
5. Mwisho — Finis!
V. Zingatia DHAMIRA ya hadithi
A. Nini ni kanuni kuu na kweli zinazoweza kutolewa toka kwenye hadithi hii?
B. Nini hasa ni “msisitizo mkubwa juu ya maisha” ambao unaonyeshwa katika hadithi hii?
1. Nini mtazamo wa hadithi kuhusu “uhalisia” (ulimwengu ukoje na nini wajibu wetu ndani yake?)
2. Nini mtazamo wa hadithi kuhusu “maadili” (yaani nini kinafanya kitu kiwe kizuri au kibaya katika hadithi?)
3. Nini mtazamo wa hadithi juu ya “thamani na maana” (yaani nini hasa kinapewa umaana na umuhimu zaidi kuliko vyote katika hadithi?)
C. Ni kwa namna gani kweli za hadithi zinahusiana na changamoto, fursa, vitisho na shida za maisha yetu?
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker