Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
2 8 8 /
K U T A F S I R I B I B L I A
Funguo kwa Utafsiri wa Biblia (muendelezo)
Mtazamo wa Msingi
Kugundua Neno na matendo ya Mungu kupitia maisha ya watu kwenye maandiko.
Mazingira ya Kimwili
Zingatia: Katika mchoro huu, Migawangyo ya
Mitazamo ya ulimwengu
Dini
Ulimwengu wao wa kale
Imani
Mgawanyo wa Kuhatschek: Kuelewa muktadha asilia wa andiko Kutafuta kanuni za jumla Kufanyia kazi kanuni hizo leo
Tamaduni
Kuhatschek inarejelea hatua tatu za ufasiri wa Biblia kama zilivyoonyeshwa na Jack Kuhatschek katika kitabu cha Applying The Bible Downer’s Grove: IVP, 1990.
Lugha
Watu
Lilikuwa na maana gani kwao wakati ule? ............. Lina maana gani kwetu sasa?
Siasa
Historia
Kweli ya milele ya Mungu Aliye Hai
Kazi
Ulimwengu
Hali yetu katika ulimwengu wa sasa
Tabia
Familia
Mahusiano
Ujirani
Kanisa
Kutumia kanuni za Neno la Mungu katika maisha yetu ndani ya Kanisa na Ulimwenguni.
Hatua za Msingi katika Utafsiri
Hatua ya Kwanza: Kuelewa Hali (Mazingira) ya Asili
Shabaha katika hatua hii ni kuelewa ulimwengu wa Biblia, mwandishi, na ujumbe wa Mungu kwa kundi fulani la watu katika wakati na eneo fulani.
A. Muombe Mungu afungue macho yako uione kweli kupitia huduma ya Roho Mtakatifu unapoendelea kusoma Neno lake. Mwambie Mungu kwamba unataka kubadilishwa na kupata maarifa kupitia kusoma kwako Maandiko. Muombe akufunulie matendo na mitazamo katika maisha yako mwenyewe ambayo inahitaji kubadilishwa na kuwa na nidhamu. Muombe Mungu atumie Neno lake kumfunua Yesu na kukufanya ufanane zaidi na Mwanawe. Mshukuru Mungu kwa kipawa cha Roho Mtakatifu, Mwana wake, na Maandiko. Waamini wengi walianza kujifunza kwao Neno la Mungu kwa kuomba maneno ya Zaburi 119.18. Baba wa mbinguni, fungua macho yangu nione vitu vizuri katika Neno lako. Amina.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker