Kutafsiri Biblia: Capstone Module 5 Swahili Student Workbook
8 6 /
K U T A F S I R I B I B L I A
3. Kama mwandishi asilia akizungumza katika muktadha wa asili, Roho Mtakatifu anaweza kutupa ufahamu wa maandiko.
a. Yohana 15:26-27
b. Yohana 16:13-14
B. Tafiti usuli (historia) wa kitabu: Wakorintho (“waraka,” barua ).
1. Zana za kutumia katika kuelewa muktadha wa kwanza (asilia) wa andiko:
2
a. Tafsiri kadhaa tofauti za Biblia za Kiswahili na Kiingereza.
b. Kamusi za Biblia.
c. Vitabu vya ufafanuzi wa kieksejesia (exegetical commentaries).
d. Atlasi ya Biblia.
e. Kitabu cha Mwongozo wa Biblia.
2. Hatua hii inakutaka ufanye nini:
a. Tengeneza maswali ya nani, nini, lini na wapi kuhusu kitabu, mwandishi wake na hadhira.
b. Tengeneza muhtasari wa andiko.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker