Misingi ya Utume wa Kikristo, Mwongozo wa Mkufunzi
2 1 0 /
MISINGI YA UTUME WA KIKRISTO
b. Matajiri watapelekwa mikono mitupu katika Ufalme ujao, Luka 1:51-53.
2. Dini iliyo safi ilifafanuliwa katika jamii kwa msingi wa namna maskini walivyotendewa.
a. Yakobo 1:27
b. Ayubu 29:12-13
3. Jamii hii mpya iliundwa kwa ajili ya matendo mema, na inadumisha na kudumu katika kuwatendea mema wanyonge na maskini.
a. Gal. 5:6
4
b. Gal. 6:9-10
c. 1 Yoh. 3:17-19
4. Msaada wa vitendo kukidhi mahitaji ya walio ndani na nje ya Kanisa ni kigezo cha ushirika wa kweli katika jamii ya agano ya Mungu.
a. 1 Yoh. 4:7-8
b. Gal. 5:22
c. Yoh. 13:34-35
Made with FlippingBook - Online catalogs