Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | KUTAF S I R I B I B L I A : MB I NU YA HATUA TATU / 111
Kugundua Neno na matendo ya Mungu kupitia maisha ya watu kwenye maandiko
Mazingira ya Kimwili
Mitazamo ya ulimwengu Imani Lugha
Watu Tamaduni Dini
Ulimwengu wao wa kale
Mgawanyo wa Kuhatschek: Kuelewa muktadha asilia wa andiko Kutafuta kanuni za jumla Kufanyia kazi kanuni hizo leo
Lilikuwa na maana gani kwao wakati ule? ............. Lina maana gani kwetu sasa?
Siasa
Historia
Kweli ya milele ya Mungu Aliye Hai
Kazi
Ulimwengu
Hali yetu katika ulimwengu wa sasa
Tabia
Familia
Ujirani
Mahusiano
Kanisa
Kutumia kanuni za Neno laMungu katikamaisha yetu ndani ya Kanisa na Ulimwenguni
II. Hatua ya Kwanza: Kuelewa mazingira au muktadha wa kwanza wa andiko ( Kushughulika na andiko kwa kufuata matakwa ya andiko lenyewe )
2
M A S O M O Y A B I B L I A
A. Kuna sababu za msingi za kutaka kuelewa andiko katika muktadha wake wa kwanza.
1. Kuna tofauti za kiutamaduni kati ya utamaduni wa enzi za andiko husika na utamaduni wa wakati wetu.
2. Kuna tofauti kubwa za lugha kati yao na sisi (Kiebrania, Kiaramu, na Kiyunani cha koine).
3. Sisi ni watu wa kikabila (tumezama kabisa katika tamaduni zetu, na kwa kawaida tunaamini tamaduni zetu kuwa ni bora ).
4. Tunasoma Biblia kwa kwa kuchanganya nyakati (yaani, tunamazoea ya kutafsiri mazingira yetu ya sasa kupitia mazingira ya nyakati za Biblia).
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker