Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
142 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
1. Kupitia historia ya mwanadamu, Mungu ametoa mwendelezo (ukweli uliounganishwa) wa ufunuo kwa wanadamu.
2. Mungu, katika nyakati za kale, alitumia njia nyingi tofauti kuzungumza na watu binafsi na makundi mbalimbali ya watu.
3. Maneno ya Mungu katika nyakati hizo, ingawa ni ya kweli kabisa, yalitoa mafunuo yake kwa sehemu na yalihitaji kukamilika.
a. Mafunuo ya mwisho ya Mungu yanaeleza maana ya yale yaliyotangulia.
b. Mafunuo ya awali ya Mungu yanatoa taswira na maana kwa haya ya mwisho.
3
4. Katika siku hizi za mwisho, Mungu amesema nasi kupitia Mwanawe.
M A S O M O Y A B I B L I A
a. Mt. 3:17
b. Mt. 17:5
c. Yoh. 1:14
d. Yoh. 1:17-18
e. Yesu akiwa kiini cha ufunuo wa Biblia anafanyika kiunganishi cha maagano, yeye mwenyewe akiwa ni Kivuli cha Agano la Kale na Utimilifu katika Agano Jipya.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker