Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
148 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
likilifunua AK? Toa jibu mahususi, na onyesha maana ya kila dhana. 5. Inamaanisha nini kusema kwamba Agano la Kale linatumika kama kivuli (kielelezo) cha Kristo na kazi yake inayojumuishwa katika Agano Jipya? Toa mifano. 6. Inawezaje kusemwa kwamba Agano la Kale ni ufunuo wa awali na hafifu wa wokovu wa Mungu, ambao Agano Jipya ndilo la mwisho la ukamilifu wa wokovu huo huo katika Yesu? 7. Je, ni kwa namna gani Agano Jipya linatoa kwa watu wote kile ambacho kilikuwa maalum kwa Israeli katika Agano la Kale? Eleza. 8. Ni kwa jinsi gani dhana ya ahadi na utimilifu inathibitisha jinsi Biblia nzima inavyoweza kueleweka kama tendo la Mungu kutoa ahadi yake ya wokovu ambayo inatimizwa katika nafsi ya Yesu wa Nazareti? Eleza. 9. Je, ni vifungu gani muhimu vya Maandiko vinavyothibitisha kwamba mada kuu ya Agano la Kale ni Masihi, mada ambayo ilitimizwa katika Yesu Kristo? Je, mada hii inaendelezwa na kufafanuliwa katika AK? Somo hili linaangazia mada na njia mbalimbali ambazo zitatuwezesha kuona uhusiano wa karibu uliopo kati ya Agano la Kale na Agano Jipya – kupitia ufunuo endelevu , dhana ya ahadi na utimilifu , na uhusiano kamilishi ambao maagano haya mawili yanao huku yote yote mawili yakifikia utimilifu wake katika Yesu wa Nazareti na kazi yake. Pitia kwa uangalifu dhana zilizo hapa chini kwa faida ya kupata umilisi (ufahamu wa kina) wa mada hizi, ambao ni muhimu ili kuchukua mikakati ya kiufafanuzi (eksejesia) ambayo itakuwezesha kuona umoja na pia utofauti wa fasihi ya Agano la Kale na Agano Jipya. • Uhusiano wa Agano la Kale na Agano Jipya unaweza kueleweka kwa ufanisi kupitia wazo la ufunuo endelevu , ambao unathibitisha kwamba Mungu amejifunua hatua kwa hatua na kwa uhakika katika historia yote ya watu wake, na hatimaye kupitia Yesu Kristo. • Dhana ya ufunuo endelevu ni pamoja na ufunuo endelevu wa
3
UHUSIANISHAJI
M A S O M O Y A B I B L I A
Muhtasari wa Dhana Muhimu Ukurasa wa 87 6
Mungu kwetu kupitia uumbaji, kupitia madhihirisho na matukio maalum, na katika siku hizi za mwisho kupitia Mwanawe. Agano la Kale linalielezea na kulifunua Agano Jipya kupitia Kristo, na maagano yote mawili yanalenga
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker