Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
150 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
Yeye, mwanzoni mwa Kitabu, aliipa dunia umbo lake. Yeye ndiye Safina ya makimbilio, inayobeba mapigo makubwa ya dhoruba Kichaka kinachowaka nyikani, Fimbo ya Haruni inayochipuka, Popote ninapotazama katika Biblia, ninamwona Mwana wa Mungu. Kondoo dume juu ya Mlima Moria, Ngazi kutoka duniani hadi mbinguni, Kamba Nyekundu dirishani, na yule Nyoka aliyeinuliwa juu, Mwamba uliopigwa nyikani, Mchungaji mwenye fimbo na gongo. Uso wa Bwana ninaugundua, popote ninapokifungua Kitabu. Yeye ni Mzao wa Mwanamke, Mwokozi aliyezaliwa na Bikira Yeye ni Mwana wa Daudi, ambaye watu walimkataa kwa dharau, Bwana wa utukufu wa milele Ambaye Yohana, Mtume, alimwona; Nuru ya mji wa dhahabu, Mwana-Kondoo asiye na doa wala dosari, Bwana arusi ajaye usiku wa manane, ambaye Wanawali wanamtazamia. Popote ninapofungua Biblia yangu, namuona Bwana wangu katika Kitabu. [Tafsiri ya Shairi la “I Find my Lord in the Book”] ~ Mwandishi Hajulikani Nguo zake za fadhila na uzuri, yaani, staha ya Haruni. Lakini yeye ni kuhani milele, kwa maana ni Melkizedeki. Sasa ni wakati wa wewe kujadili pamoja na wanafunzi wenzako maswali yako kuhusu ufahamu wako mwenyewe na matumizi ya dhana za ufunuo endelevu na mada ya ahadi na utimilifu . Unachopaswa kufanya ni kuuliza maswali mahususi, ya moja kwa moja, na ya wazi kuhusu ufahamu wako mwenyewe na umahiri ulionao katika kanuni hizi, na kutafuta njia ambazo unaweza kuhitaji kutumia maarifa haya moja kwa moja katika safari yako ya kiroho leo. Maswali yaliyopo hapa chini yanalenga kuchochea baadhi ya maswali ambayo unaweza kuwa nayo kwa kuzingatia maudhui ya somo ambalo umejifunza hivi punde. • Je, nina uhusiano gani na Maandiko ya Agano la Kale – je, najua vitabu vyote vya Agano la Kale, nimesoma Agano la Kale angalau mara moja, na je, nina tabia thabiti ya kusoma na kutumia Agano la Kale katika maisha na huduma yangu? • Je, niliifahamu kanuni ya ufunuo endelevu kabla ya kuanza kwa fungu hili la kozi hii, na ikiwa jibu ni ndiyo, ni kwa jinsi
3
M A S O M O Y A B I B L I A
Kutendea Kazi Somo na Matokeo yake kwaWanafunzi Ukurasa wa 88 7
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker