Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 4 | USHAHIDI WA AGANO J IPYA KUHUSU KRISTO NA UFALME WAKE: KUPINGWA KWA MASIHI / 163
3. Katika vyanzo vingi vya Kiyahudi, maneo “ Ufalme wa Mungu ” na “ Ufalme wa mbinguni ” yote yanarejelea uthibitisho wa Mungu wa utawala wake juu ya uumbaji wake (Dan 7:27).
B. Marejeleo ya Agano la Kale kuhusu Ufalme wa Mungu (mifano wakilishi)
1. Kut. 15:18
2. 1 Sam. 2:12
3. 1 Nya. 29:11
4. Zab. 22:29
5. Zab. 93:1; 95:10; 97:1; 99:1
6. Zab. 145 :11-13
4
7. Isa. 9:6-7
M A S O M O Y A B I B L I A
8. Dan. 4:34
9. Dan. 7:14
10. Dan. 7:27
11. Mengi ya maandiko ya Kiyahudi ya wakati wa Yesu yalikuwa na marejeleo mengi kuhusu wazo la mamlaka ya ufalme wa Mungu (k.m., Tobiti 13:1; Hekima ya Sulemani 6:4; 1 Henoko 41:1, nk.).
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker