Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
168 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
2. Yesu ni uwepo wa wakati ujao .
a. Utimilifu wa ahadi ya Ibrahimu, Gal. 3:13-14
b. Aliyepewa mamlaka ili kubatilisha madhara ya laana, rej. Isa. 11
c. Mshindi ambaye alikuja kumaliza kabisa utawala na mamlaka ya Shetani, ona Mwa 3:15 pamoja na 1 Yoh. 3:8
d. Masihi aliyepakwa mafuta na Mungu ili kuzindua enzi itakayokuja katika wakati huu wa sasa.
B. Muhtasari wa jumla wa jukumu la Yesu kama Masihi unatimiza ahadi ya ufalme ya yule ambaye angekomesha madhara ya laana na kazi za ibilisi.
1. Kazi ya Masihi Yesu ilikuwa kuharibu kazi za ibilisi (1 Yoh. 3:8).
4
2. Kuzaliwa kwa Masihi Yesu kunawakilisha uvamizi wa utawala wa Mungu katika utawala wa Shetani, Luka 1:31-33.
M A S O M O Y A B I B L I A
3. Ujumbe wa Masihi Yesu ulikuwa kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia, upo ili watu wote wauone kupitia yeye, Mk 1:14-15.
4. Mafundisho ya Masihi Yesu yanawakilisha maadili ya Ufalme, Mt. 5-7.
5. Miujiza ya Masihi Yesu inadhihirisha kwa watu wote mamlaka yake ya kifalme na uwezo wa kushinda madhara ya laana kwa uumbaji wa kimwili wa Mungu, kwa mfano, katika Marko 2:8-12 ambapo anaonyesha mamlaka yake ya kusamehe na kuponya.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker