Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
170 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
1. Uponyaji wa Yesu ulikuwa ishara za Umasihi wake na uwepo wa Ufalme ulimwenguni.
2. Yesu alikabiliana na matokeo ya laana : alipewa mamlaka juu ya madhara yote ya laana, kutia ndani magonjwa, uharibifu, hata kifo.
a. Alifungua macho yaliyopofushwa (Yoh. 9:1-7).
b. Alilisha zaidi ya watu 5,000 kwa mikate michache na samaki wachache, Marko 6:30-44.
c. Aliamuru kutulia kwa upepo na dhoruba kali, Mt. 8:23-27.
d. Aliwaponya viwete, waliopooza, na vilema, Mk 2:1-12.
e. Aliwafufua hata wafu, Yohana 11.
4
3. Miujiza yote ya Yesu ilikuwa ishara za mamlaka yake ya kifalme kama Masihi ili kusimika tena utawala wa ufalme wa Mungu duniani.
M A S O M O Y A B I B L I A
a. Huduma ya Yesu ni ishara za haki yake ya kifalme ya kuonyesha uwezo wa Mungu katika ulimwengu wetu, Mdo 10:36-38.
b. Kila mahali alipoenda Yesu, alionyesha kuwa utawala wa ufalme wa Mungu umekuja duniani kupitia miujiza na uponyaji wake, Mt. 4:23-25.
B. Ufalme umekuja katika Yesu: kufukuza pepo na ukandamizaji wa mapepo
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker