Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 4 | USHAHIDI WA AGANO J IPYA KUHUSU KRISTO NA UFALME WAKE: KUPINGWA KWA MASIHI / 171
1. Yesu kuondoa mapepo kwa mamlaka na amri ni ishara za Umasihi wake.
a. Alimponya mvulana mwenye pepo, Mk 9:14-29.
b. Alimponya mwanaume mkali mwenye pepo kwa Wagerasi, Mt. 8:28-34.
c. Mashetani walilia kwa hofu mbele yake (Mk. 1:24-25).
2. Yesu alikabiliana na ufalme wa shetani : alipewa mamlaka ya kuzishinda na kuzifunga nguvu zote za shetani, na kuharibu kazi zake juu ya uumbaji wa Mungu na wanadamu wote.
a. Uharibifu wa Yesu na utawala wake juu ya majeshi ya ibilisi unathibitisha mamlaka yake ya kifalme na uwepo wa Ufalme duniani (Lk 11:14-23).
b. Kupitia uwepo wa kifalme wa Yesu, Ufalme ulikuja katikati ya watu, Luka 17:20-21.
4
c. Huduma ya hadhara ya Yesu ni uporaji wa nyumba ya mtu mwenye nguvu, ibilisi, na kusimika tena haki ya Mungu ya kutawala nyumba yake mwenyewe, Mt. 12:24-29.
M A S O M O Y A B I B L I A
3. Makabiliano yote ya Yesu na ibilisi yanaweza kutazamwa kama ishara za mamlaka yake ya kifalme kama Masihi ili kusisitiza tena utawala wa ufalme wa Mungu duniani.
a. Ebr. 2:14
b. 1 Yoh. 3:8b.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker