Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | MUNGU BABA : MUNGU KAT I KA UTATU – UKUU WA MUNGU / 201
Mungu Baba Mungu katika Utatu – Ukuu wa Mungu
S OMO L A 2
Ukurasa wa 113 1
Karibu katika Jina lenye nguvu la Yesu Kristo! Baada ya kusoma, kujifunza, kushiriki katika mijadala, na kutendea kazi yaliyomo katika somo hili, utakuwa na uwezo wa: • Kuonyesha kupitia Maandiko muhtasari wa fundisho la Biblia kuhusu fundisho la Utatu , yaani Mungu katika nafsi tatu. • Kuelezea namna ambavyo Biblia inatufundisha kwamba kuna Mungu mmoja tu, na bado Mungu huyo mmoja anajifunua kwetu kama Mungu Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. akizungumziwa katika lugha ya wingi , yaani, zaidi ya nafsi moja, ambayo ni Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu ambazo ni nafsi katika Uungu Mtakatifu. • Kuzinukuu baadhi ya fahamu (tafsiri) kuu za kihistoria kuhusu Utatu. • Kutambua maana ya asili ya Mungu kama Utatu, pia kuthibitisha kwamba washiriki wote wa Utatu wako katika umoja, utofauti, na usawa, Mungu mmoja wa kweli, Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu. • Kuonyesha kutokana na Maandiko namna Mungu anavyozungumziwa kama Mungu mmoja, huku pia Utatu Mbarikiwa 2 Wakorintho 13:14 – Neema ya Bwana Yesu Kristo, na pendo la Mungu, na ushirika wa Roho Mtakatifu ukae nanyi nyote. Haipaswi kutushangaza kabisa kwamba Mungu yuko juu zaidi ya ufahamu wetu. Siri hiyo, ajabu, na kicho vinahusishwa na nafsi ya kiroho, Yeye asiye na kikomo ambaye alizungumza na pasipo kutumia chochote ila Neno lake, akazungusha mamilioni ya nyota na magimba mengine na kuyarushia kwenye giza la anga. Watu wa nyakati za leo hawawezi kustahimili mambo ya kushangaza namna hii; sayansi na maarifa (inasemekana) lazima vivute na kufunua mapazia ya kila mwana mazingaombwe wa uwongo anayevuta kamba na kuongea katika vipaza sauti kama vile mwana mazingaombwe wa uongo katika filamu ya The Wizard of Oz . Kila kitu kinaweza kuelezewa kwa mantiki, ushahidi, na michakato ya
Malengo ya Somo
2
T H E O L O J I A N A M A A D I L I
Ibada Ukurasa wa 114 2
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker