Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 4 | MUNGU ROHO MTAKAT I FU : NAF S I YA ROHO MTAKAT I FU / 249

(hafungwi), bali ni kama neno lake, ambalo halitamrudia Yeye bure, bali litatimiza apendalo.

~ N. H. Snaith. Chapter VII, “The Spirit of God.” The Distinctive Ideas of the Old Testament . kurasa za 143-158.

2. Dini ya Kiyahudi katika Agano la Kale ilimuelewa Roho Mtakatifu kuwa ni “nguvu ya Mungu inayotenda kazi.” Nguvu hiyo inadhihirika kama:

Ukurasa wa 131  8

a. Nguvu katika vita (kama vile upepo wa Mungu unavyoonekana ukiigawanya bahari ya Shamu au pale ambapo Waamuzi wanatiwa nguvu katika mapigano yao dhidi ya maadui wa Israeli).

b. Aina mbalimbali za hekima (kama wale mafundi katika kuijenga Hema ya Bwana au Yusufu au Danieli wakiwa na vipawa maalum kwa ajili ya usimamizi wa Serikali).

Katika Agano la Kale, Roho (rûah) ya Yahwe ni nguvu ya Mungu katika utendaji.... Ni neno linalomaanisha pumzi iliyopulizwa kadhalika upepo unaovuma.... rûah lina uhusiano halisi na wa ajabu pale linapotumika kumaanisha nguvu za Mungu zilizoachiliwa. Linatumika hivyo karibu mara 100 kati ya mara 400 ambapo linatokea katika Agano la Kale. ~”Holy Spirit.” New Dictionary of Theology. Downers Grove, IL/ Leicester, England: Inter-Varsity Press, 1988. uk. 316. Tazama Ray Pritchard, Names of the Holy Spirit . Chicago: Moody Press, 1995. Ukurasa wa. 11, 13, 34.

c. Matamko ya kinabii (kama yale yaliyotolewa na Yeremia au Ezekieli).

4

III. Nguvu Itoayo Uzima

A. Roho anahusika kwa karibu sana katika uumbaji wa ulimwengu.

T H E O L O J I A N A M A A D I L I

Mwanzo 1:1-2 – Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.

1. Roho “ikatulia.”

a. Neno la Kiebrania lililotafsiriwa kama “kutulia” ni ( rachaph ) likimaanisha kuchunga kwa umakini (au kuatamia akiwa [hewani] juu ya… linagnisha na Kumb. 32:11). Roho wa Mungu alichunga uumbaji mpya akiuandaa kutoka katika hali ya ukiwa kuwa katika hali yenye mpangilio, toka hali ya giza kuwa nuru.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker