Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

274 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

na kuhuzunisha; hakujua kwa nini walipaswa kurudia maneno, na kuimba nyakati fulani, kusimama wakati fulani, na kusoma nyakati nyingine. Yote haya yanachosha na ni ya kizamani sana. Aliwauliza ndugu zake kwa nini kanisa haliwezi kuwa lenye kusisimua zaidi, kama vile maonyesho ya michezo kwenye TV, au msisimko kwenye matukio ya riadha. “Je, Mungu anapenda tuwe na huzuni?” Aliuliza. Je, unaweza kumwambia nini mtoto huyu wa miaka 13 kuhusu uzoefu wake wa ibada katika kanisa lake, na jinsi Mungu anavyomtaka aelewe na kuitazama ibada ya pamoja?

Kanisa katika Ibada

Mch. Terry G. Cornett

MAUDHUI

Neema ya Mungu huja kabla ya uamuzi au juhudi zozote za mwanadamu – ni neema yake pekee ndiyo inayoweza kuwawezesha watu kumwitikia. Ni kwa sababu ya neema hii Kanisa linaweza kumwabudu Mungu na ibada zote za Kanisa, hasa Meza ya Bwana na ubatizo, zinakusudiwa kuwa ushuhuda na uzoefu wa neema ya Mungu Lengo letu la somo hili, Kanisa katika Ibada , ni kukuwezesha wewe: • Kutoa tafasiri ya neema. • Kutofautisha kati ya neema na rehema. • Kutambua na kuukabili uzushi wa Pelagiani. • Kueleza tofauti kati ya neno “sakramenti” na neno “agizo.” • Kutaja na kueleza kwa ufupi mitazamo mikuu minne ya Kikristo kuhusu Meza ya Bwana.

Muhtasari

1

H U D U M A Y A K I K R I S T O

I. Sola Gratia (Neema Pekee)

Muhtasari wa Video

A. Neema ni sifa muhimu ya jinsi Mungu alivyo.

Ufu. 22:21 Neema ya Bwana Yesu na iwe pamoja nanyi nyote. Amina.

1. Kut. 34:6-7

2. Yn. 1:14

3. Efe. 1:6

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker