Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 1 | THEOLOJ I A YA KAN I SA : KAN I SA KAT I KA I BADA / 275

4. Ebr. 10:29

B. Neema ni kibali tusichostahili. Mungu anapokuwa wa neema kwetu hututendea kwa upendo ingawa hatuna sababu ya kudai au kutarajia fadhili hizo.

C. Tofauti kati ya “neema” na “rehema”

Ukurasa wa 144  6

1. Rehema ni Mungu kutunyima na kukizuia kile tunachostahili.

2. Neema ni Mungu kutupa kile tusichostahili.

1

3. Katika Maandiko ya Agano Jipya, neema ina maana ya kwamba Mungu anashughulika na sisi kama vile tu anavyoshughulika na Mwanawe Yesu. Kwa hiyo, hakika neema ni kibali cha bure na kisichostahiliwa.

H U D U M A Y A K I K R I S T O

D. Je, tunamaanisha nini tunaposisitiza kuwa kila kitu tulicho nacho ni Sola Gratia , kwa neema pekee?

1. Kwanza kabisa, tunamaanisha kwamba kila mwanadamu ambaye amewahi kuishi anakuja ulimwenguni akiwa amefungwa chini ya dhambi na yuko katika hali isiyo na matumaini kabisa, Rum. 3:10-12. Fundisho potofu au uzushi wa Pelagiani ni imani kwamba mtu hajazaliwa na asili ya dhambi na anaweza kumtafuta na kumwamini Mungu kabisa kwa hiari yake mwenyewe. Kanisa limekataa fundisho la Wapelagiani na kufundisha kutoka katika Maandiko kwamba mtu anaweza kumjia Mungu kwa sababu tu neema ya Mungu inatenda kazi ndani yake.

Ukurasa wa 144  7

Ikiwa mtu yeyote anasema kwamba neema ya Mungu inaweza kutolewa kama matokeo ya maombi ya mwanadamu, na kwamba sio neema yenyewe ndiyo inayotufanya tumwombe Mungu, basi atakuwa anapingana na nabii Isaya, au Mtume Yohana ambaye

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker