Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

278 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

C. Maana ya “maagizo”

1. Kuna mapokeo mengi ya kanisa yanayoielewa Meza ya Bwana na ubatizo kama maagizo, badala ya sakramenti. Neno “agizo” linamaanisha “amri iliyoidhinishwa” na kwa hiyo Meza ya Bwana na ubatizo hufanywa kwa kutii amri ya Kristo. Badala ya kuwa njia ambayo neema ya Mungu hutujia, makanisa haya yanamsimamo kwamba katika ubatizo na Meza ya Bwana tunakumbuka na kuishuhudia neema ya Mungu ambayo tayari tumepokea.

Ukurasa wa 146  12

2. Kut. 12:14 (BHN) – Vizazi hata vizazi mtaadhimisha tukio hilo kwa sikukuu kubwa kwa heshima yangu mimi Mwenyezi - Mungu. Hilo litakuwa agizo la milele kwenu.”

1

H U D U M A Y A K I K R I S T O

3. Lengo la maagizo mengi ya Agano la Kale lilikuwa kuwasaidia watu kukumbuka kutii kwa njia ya amri au sherehe ya kidini. Katika Agano Jipya, ubatizo na Meza ya Bwana ni ushuhuda wa wazi wa neema ambayo Mungu alitupa kupitia maisha, kifo na ufufuo wa Yesu na inatukumbusha kwamba Kanisa lipo na linaishi kupitia neema hii.

III. Ubatizo: Ubatizo Unahusianaje naWokovu?

A. Wale wanaotazama ubatizo kama sakramenti wanauona kama njia ambayo kwayo neema ya Mungu inaleta wokovu. Katika theolojia ya sakramenti, ubatizo ni muhimu kwa ajili ya kuzaliwa upya au kuzaliwa mara ya pili.

1. Msaada wa Maandiko kwa mtazamo wa ubatizo kama sakramenti au njia ya neema:

a. Mdo. 2:38

b. Mdo 22:16

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker