Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

280 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

a. Mdo. 10:47

b. 1 Kor. 1:14-17

2. Kichocheo kikuu cha ubatizo ni utii.

Kamusi ya Biblia ya Holman , ambayo inawakilisha mapokeo ya Wabaptisti, inasema: Ubatizo si kigezo kwa ajili ya kupata wokovu, bali ni takwa la utii. Ubatizo ni hatua ya kwanza ya ufuasi. Ingawa maana zote za ubatizo ni muhimu, maana moja ambayo mara nyingi huja akilini ni ubatizo wa maji kama picha ya kumjua Kristo kama Bwana na Mwokozi. Ubatizo kamwe si tendo lenyewe la wokovu lakini, badala yake, ni ishara ya tendo lenyewe. Kwa hiyo kielelezo cha utii ni kuja kwa Kristo kwa tumaini na kisha kuwa na picha hiyo kupitia ishara ya ubatizo.

1

H U D U M A Y A K I K R I S T O

~ Trent C. Butler, Gen. ed. Holman Bible Dictionary (electronic ed.). Nashville: Holman Bible Publishers, 1991.

C. Ubatizo una umuhimu unaolingana ndani ya mapokeo yanayouita sakramenti na yale yanauita maagizo. Ubatizo unatolewa na kuamriwa na Kristo mwenyewe. Kamwe sio hiari au wa kufanyiwa mbadala. Kwa hiyo, kwa wale wanaouona kama sakramenti na wale wanaouona kuwa ni agizo, ubatizo ni alama bayana kwamba mtu amejikabidhi chini ya ubwana wa Yesu Kristo.

Ukurasa wa 146  14

IV. Meza ya Bwana

Ukurasa wa 147  15

A. Maneno ya Kawaida:

1. Chakula cha Bwana ni jina la kawaida kwa tendo hili la ibada.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker