Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 1 | THEOLOJ I A YA KAN I SA : KAN I SA KAT I KA I BADA / 291
wanapojaribu kuonyesha kikamilifu upendo wao kwa Mungu katika ibada, kama mpiga ngoma wao ahamasishavyo “shuka kwa ajili ya Bwana”?
Hakuna tunachoweza kufanya ili kutamani au kupata wokovu ikiwa haujatolewa kwetu kama zawadi ya bure kwa neema ya Mungu. Uzoefu huu wa neema ya Mungu hulifanya Kanisa kuwa jumuiya ambayo wajibu na furaha yao ni kumwabudu Mungu. Tunamtukuza Mungu katika ibada yetu kwa sababu ya tabia yake kamilifu – utakatifu wake wa pekee, uzuri wake usio na kikomo, utukufu na matendo yake yasiyo na kifani. Kwa neema ya Mungu katika Yesu Kristo, tumewekwa huru kumwabudu Mungu wa kweli, Mungu wa Utatu katika uweza wa Roho Mtakatifu. Zaidi ya hayo, Kanisa humwabudu Mungu kwa njia ya sifa na shukrani, kwa njia ya liturujia inayokazia Neno na sakramenti, na kwa utii na mfumo wake wa maisha kama jumuiya ya agano. Ikiwa una nia ya kufuatilia baadhi ya mawazo yanayohusiana na mada zilizoletwa katika somo hili la Kanisa katika Ibada , unaweza kujaribu vitabu hivi: Boschman, Lamar. The Rebirth of Music . Shippensburg: Destiny Image, 2000. Bridges, Jerry. Transforming Grace: Living Confidently in God’s Unfailing Love . Colorado Springs, CO: NavPress, 1993. Engle, Paul E. Baker’s Worship Handbook . Grand Rapids: Baker Book House, 1998. Hill, Andrew E. Enter His Courts With Praise! Grand Rapids: Baker Book House, 1993. Oden, Thomas C. The Transforming Power of Grace . Nashville: Abingdon Press, 1993. Webber, Robert. Planning Blended Worship . Nashville: Abingdon, 1998. Sasa ni wakati muhimu katika somo kutafuta kujua ni nyanja zipi za theolojia hii ya kibiblia zinaweza kuwa na matumizi zaidi kwenye maisha yako binafsi. Ni kwenye eneo lipi hasa Roho Mtakatifu anaweza kuwa anakuita ili kuyatumia katika hali yako ya sasa ya huduma mafundisho haya yahusuyo neema ya Mungu, na ibada ambayo ni matokeo ya ufahamu kamili wa neema katika maisha yetu binafsi na kanisa? Kutengeneza uhusiano ulio wazi na wenye nguvu ni ujuzi mkuu wa kiongozi yeyote mwenye sifa,
Marudio ya Tasnifu ya Somo
1
Nyenzo na Bibliografia
H U D U M A Y A K I K R I S T O
Kuhusianisha Somo na Huduma
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker