Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 2 | U I NJ I L I S T I NA V I TA YA ROHON I : KUFUNGWA KWA MTU MWENYE NGUVU / 409

B. Protoevangelium : kuhubiriwa kwa Injili kwa mara ya kwanza, Mwa. 3:15

1. Uadui kati ya nyoka na mwanamke.

2. Uadui kati ya uzao wa nyoka na “Uzao” wa mwanamke.

3. Kupondwa kisigino kwa uzao wa mwanamke, kupondwa kwa kichwa cha nyoka.

a. Mdo. 2:23-24

b. Rum. 16:20

2

c. Efe. 4:8

U T U M E K A T I K A M I J I

d. Ufu. 12:7-8

C. Njia zilizotumiwa: maisha, kifo, na ufufuo wa Yesu Kristo

1. Maisha yake: kufanyika mwili kwa utukufu wa Baba Yoh. 1:14-18.

2. Haki yake: uwakilishi wa Adamu wa pili kwa jamii mpya ya binadamu, Rum. 5:17-19.

3. Kifo chake: adhabu iliyolipwa kwa ajili ya kutotii kwa wanadamu, Rum. 5:6-9.

4. Ufufuo wake: uhakika wa msamaha na neema ya Mungu.

a. 2 Kor. 13.4

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker