Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
410 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
b. Efe. 1:19-23.
II. Wokovu kama Ukombozi Kutoka katika Dhambi na Madhara yake
A. Ukombozi dhidi ya adhabu ya dhambi : dhabihu mbadala ya Kristo kwa ajili ya dhambi.
1. 1 Pet. 3:18
2. Efe. 2:16-18
3. Ebr. 9:26-28
2
B. Ukombozi kutoka kwenye utumwa wa dhambi : uhuru dhidi ya Shetani na uonevu wa kishetani.
U T U M E K A T I K A M I J I
1. 2 Kor. 2:14
2. 1 Yoh. 4:4
3. 1 Yoh. 5:19
4. 1 Kor. 2:12
5. Efe. 6:12
C. Ukombozi kutoka kwenye nguvu za dhambi : kumiminwa kwa Roho Mtakatifu katika wakati huu.
1. Efe. 1:13-14
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker