Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
SOMO LA 2 | U I NJ I L I S T I NA V I TA YA ROHON I : KUFUNGWA KWA MTU MWENYE NGUVU / 411
2. Rum. 8:14-16
3. 2 Kor. 1:22
4. Efe. 4:30
D. Ukombozi kutoka kwenye uwepo wa dhambi : tangu uvamizi hadi kutimilizwa kwa Ufalme.
1. 1 The. 5:23-24
2. 1 Kor. 1:8-9
2
3. Efe. 5:26-27
U T U M E K A T I K A M I J I
4. Flp. 2:15-16
5. 1 The. 3:13
6. Yud. 1:24
III. Uinjilisti: Kutangaza Habari Njema ya Ukombozi Huu na Wokovu kwaWaleWanaohitaji Kusikia Ujumbe wa Mungu wa Ukombozi katika Yesu Kristo.
A. Upande wa nje wa uinjilisti: kuelewa kile ambacho Mungu alikamilisha kwa uumbaji na wanadamu katika kazi yake msalabani (Habari Njema).
1. Utume wa uinjilisti (mapokeo ya kitume), 1 Kor. 15:3-8.
2. Katazo la kugoshi Habari Njema yenyewe, Gal. 1:8-9.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker