Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
418 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
Katika somo letu linalofuata, Mkazo kuhusu Uzazi: Ukuaji wa Kanisa – Kuongezeka katika Idadi na Ubora , tunachunguza wito wa Yesu wa kufanya mwataifa yote kuwa wanafunzi, kufanya uinjilisti, na pia kuhakikisha kwamba ufuasi wa kina umethibitishwa katika jumuiya ya Kikristo. Yesu ametuita kufanya uinjilisti kwa waliopotea, kuwaandaa wanafunzi wapya kuishi maisha ya Kikristo, na kuliwezesha Kanisa lake kujizalisha lenyewe, yote kwa ajili ya utukufu wa Mungu. Roho wake na akupe nguvu na shauku ya kufanya wanafunzi mahali unapoishi, na hivyo kuzidisha Kanisa lake, kwa utukufu wa jina lake kuu! Tafadhali tazama nyenzo zifuatazo katika kitabu cha Theolojia katika Picha: Orodha ya A-Z ya Vielelezo, Chati, Michoro na Makala Muhimu za TUMI : • Kiwango cha Upokeaji , ukurasa wa 113 • Kutafsiri Hadithi ya Mungu , ukurasa wa 153 • Baraka Thelathini na Tatu katika Kristo , ukurasa wa 14 • Christus Victor: Maono Jumuishi kwa Maisha ya Kikristo , ukurasa wa 26 • Uhusiano wa Gharama na Ufanisi katika Juhudi za Kufanya Wanafunzi , ukurasa wa 458
Kuelekea Somo Linalofuata
KWA UTAFITI ZAIDI
2
U T U M E K A T I K A M I J I
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker