Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 3 | MKAZO KUHUSU UZAZ I : UKUA J I WA KAN I SA / 425

b. Matendo mema yanayofunua nguvu za Ufalme, Mt. 5:13-16.

c. Uwasilishaji wa wazi na wenye ujasiri Habari Njema ya neema ya Mungu Gal. 3:1ff.; 1 The. 1:5-.

B. Funguo za Kuwainjilisha waliopotea

1. Uinjilisti ni kuwa mtangazaji: ni kutangaza kwa ujasiri kwa maneno na matendo kwamba Yesu ndiye Masihi, Bwana mfufuka wa Ufalme!

2. Ujasiri wa kuwa kielelezo kwa majirani kwa mtindo wa maisha na ushuhuda wa Injili.

3. Utayari wa kufanya urafiki na watu wa jamii ambamo Mungu amekuweka na kuwatumikia.

3

4. Timu ya waombezi iliyo makini, isiyovunjika ambayo inaweka msingi wa juhudi zote katika maombi ya dhati, yaliyojaa imani.

U T U M E K A T I K A M I J I

C. Hatua ya Kwanza: Jiandae – weka msingi wa awali wa utume wenye ufanisi na huduma ya kuwafikia wengine kupitia maombi yako, timu yako, uteuzi wako wa eneo unalolenga, na uelewa wako wa muktadha wa eneo husika .

1. Maandiko muhimu

a. Lk. 24:46-49

b. Mt. 28:19-20

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker