Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi
426 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I
2. Kanuni ya msingi: tumia muda ufaao kutafuta nia ya Bwana na kujitayarisha kabla ya kuingia katika jamii na kuanza kazi yako.
3. Unda timu ya kupanda kanisa.
4. Omba.
5. Chagua eneo lengwa na kundi/makundi ya watu unaowalenga.
6. Fanya utafiti wa kidemografia (idadi ya watu) na ethnografia (mila na tamaduni za jamii).
D. Hatua ya Pili: Anza – katika jina la Yesu, ingia katika jamii ili kujifunza, kutumikia, na kushuhudia habari njema ya Kristo na Ufalme wake katika eneo unalolenga .
3
1. Maandiko muhimu
U T U M E K A T I K A M I J I
a. Mdo 1:8
b. Gal. 2:7-10
2. Kanuni za msingi: ikiwa timu imejazwa na Roho Mtakatifu, yenye watu wanaofahamiana wenyewe kwa wenyewe na kuwafahamu watu na eneo ambalo Mungu amewaitia, sasa inakwenda kwenye jumuiya ikitumika na kushuhudia katika jina la Yesu.
3. Kuajiri na kuwafunza watu wa kujitolea.
4. Endesha matukio ya uinjilisti na ushuhudiaji wa nyumba kwa nyumba.
Made with FlippingBook Digital Proposal Maker