Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

428 / MTAALA WA CORNERS TONE K I TABU CHA MWANAFUNZ I

4. Hakuna uhusiano na Mungu unaoweza kudumu bila mwili wa Kristo.

B. Funguo za Kufuasa waamini

1. Kufuasa ni uzazi na malezi: kulea watoto wa kiroho hadi ukomavu .

2. Tengeneza ushahidi wa kina wa umuhimu na nafasi yake katika uzazi.

3. Tengeneza mpango thabiti wa jinsi ya kufanya kazi hiyo.

4. Jenga mbinu huru inayowaruhusu wanachama kukidhi mahitaji yao wenyewe kupitia uongozi thabiti na utendaji kazi wa karama za Roho.

3

C. Hatua ya Tatu: Kusanya – kukusanya pamoja waongofu wapya na vikundi vidogo ili kuunda kusanyiko la mahali pamoja, na kutangaza kwa jamii uwepo wa ushirika mpya wa Kristo katika mtaa .

U T U M E K A T I K A M I J I

1. Maandiko muhimu

a. Mdo. 2:41-47

b. Ebr. 10:24-25

2. Kanuni ya msingi: waumini wapya na ambao hawajakomaa lazima wakusanyike pamoja kama kusanyiko la mahali pamoja ili kuhakikisha ulinzi, malisho, ushirika, na utunzaji wao.

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker