Mtaala wa Cornerstone, Kitabu cha Mwanafunzi

SOMO LA 3 | MKAZO KUHUSU UZAZ I : UKUA J I WA KAN I SA / 439

linalosisitiza kanuni hizi kwa njia ya vitendo katika ibada, maisha, na ushirika wenu pamoja? • Je, unajisikia vizuri kuvuka vizuizi (matabaka, ukabila, jinsia, lugha, n.k.) katika kuwashirikisha wengine Habari Njema za Kristo na Ufalme wake? • Je, una mzigo kiasi gani wa kushirikisha familia yako, marafiki, na wafanyakazi wenzako Injili? Ni kikwazo gani kikubwa kwako unachopaswa kukishinda katika kuwa shahidi bora wa Kristo miongoni mwa wale unaoishi na kufanya nao kazi? • Kati ya zile kanuni kumi zinazofanya kazi katika tamaduni mchanganyiko, ni kanuni ipi yenye athari ya moja kwa moja katika hali yako ya maisha hivi sasa? Unawezaje kutumia kanuni hiyo moja kwa moja katika maisha yako na huduma yako leo? KuwapaWatu Motisha Zaidi Kidogo (Inatokana na hadithi ya kweli) Kanisa moja, katika jitihada ya kuwavutia watu wengi zaidi na kuwaleta katika kanisa lao linalokua, liliazimia kuwapa wageni motisha zaidi ya kuja kwenye ibada zao za Jumapili. Kanisa lilianza kuutangazia umma kuwa kila Jumapili baada ya ibada watakuwa wakiendesha bahati nasibu ambapo mshindi angeweza kujishindia kiasi cha dola 800! Walipoulizwa kuhusu manufaa ya mbinu hiyo, wahusika walisema, “Kwa nini tusitumie njia yoyote tuliyo nayo kuwashawishi na kuwavuta watu kwenye ibada ambayo haitoi tu uhakika wa dola chache bali hazina ya milele ya uzima katika Yesu Kristo?” Sio tu kwamba bahati nasibu hiyo ilifanikiwa, na kuongeza idadi ya waabudu katika ibada, lakini pia imelitia moyo kanisa kufikiria “vivutio” bora zaidi vya kuwafanya waliopotea waje kusikia Habari Njema. Nini ni sahihi au si sahihi katika mtazamo kama huo wa ukuaji wa kanisa? Mungu Yuko Katika Hili Bila idhini ya kanisa au huduma yoyote mama, wanandoa wapenzi waliazimia kufuata mzigo waliokuwa nao kwa muda. Katika tendo la ujasiri na imani, walianza mafundisho ya Biblia kwa nia ya kuanzisha kanisa ambalo lingejiendesha lenyewe na la kumcha Mungu. Mungu amebariki juhudi zao; katika muda usiozidi miaka miwili wamekua na kuwa kusanyiko thabiti la washirika hai 300, wote wanaompenda Bwana na “familia ya mchungaji” kwa mioyo yao yote. Mgogoro wa chinichini umezuka hivi karibuni, kwa sababu kundi linahisi zaidi na zaidi kwamba mamlaka ya mchungaji na mke wake inaonekana kuwa karibu kabisa na ya kidikteta; hakuna kitu

MIFANOHALISI

1

Ukurasa wa 187  7

3

U T U M E K A T I K A M I J I

2

Made with FlippingBook Digital Proposal Maker